Coat of arms of the United Republic of Tanzania
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF FINANCE NATIONAL INSURANCE CORPORATION OF TANZANIA LIMITED (NIC) ISO 9001:2015 CERTIFIED
NIC logo
News

NIC tunaendelea kutumia majukwaa ya kidigital kutoa elimu na huduma za bima

14 July 2025 · Admin

All news
1 photo. Select a photo to see it full size.
NIC tunaendelea kutumia majukwaa  ya kidigital kutoa elimu na huduma za bima

Ahsante kwa Wafuasi 20,000 kwenye ukurasa wetu wa Instagram na kuwa kampuni kiongozi kwenye sekta ya BIMA kufikisha idadi ya wafuasi (Followers) 20,000 #sisindiyobima


NIC tunaendelea kutumia majukwaa haya ya kidigital kutoa elimu na huduma za bima ili kufikia lengo la kuwa na idadi kubwa ya watumia huduma za bima nchini.



https://www.instagram.com/nic_insurance/