NIC yakabidhi hundi kwa ajili ya Serengeti Girls

30-05-2022

Author: author

Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Insurance Dkt. Elirehema Doriye akikabidhi Hundi kwa ajili ya mchango kwa Serengeti Girls kuelekea kwenye michuano ya Kombe la Dunia itakayofanyika Nchini India ambapo Mgeni Rasmi alikua Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa na Katibu Mkuu wake Dkt. Hassan Abbas.