Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Fatuma Aboubakari Mwassa atambulisha Beam Life Morogoro

30-05-2022

Author: author

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Fatuma Aboubakari Mwassa ametambulisha bidhaa mpya ya Bima za Maisha ya BeamLife kutoka NIC Insurance wakati wa Mbio za Selous Marathon 2022 iliyofanyika leo mkoani Morogoro.