Naibu Katibu Mkuu wa Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah atembelea Banda la NIC Sabasaba

30-05-2022

Author: author

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashim Abdallah ametembelea Banda la NIC kujionea huduma mbalimbali za Bima zinazotolewa na Shirika hilo wakati wa Maonesho ya 46 ya Biashara Sabasaba.
Endelea kufurahia huduma nzuri kutoka NIC - Pakua App ya NIC kiganjani Kwa kubofya link kwenye BIO ya @nic_tanzania #JikaveNaNIC #sisindiyobima