NIC Insurance imedhamini na kushiriki CRDB Marathon 2022

30-05-2022

Author: author

NIC Insurance imedhamini na kushiriki CRDB Marathon 2022. Mbio hizi zimelenga kuchangisha fedha za kurejesha tumaini na kusambaza tabasamu kwa watoto wetu wenye uhitaji wa upasuaji wa moyo pale JKCI, na wakinamama wenye ujauzito hatarishi pale CCBRT.