NIC yaingia makubaliano na UWABAKABO

30-05-2022

Author: author

NIC imeingia makubaliano na Umoja wa Waendesha na Wamiliki wa Bajaji kata ya Boma (UWABAKABO) iliyopo Mafinga ili kutoa Huduma za Bima kwao na watu wao wa karibu ili kuleta muunganiko mzuri wa biashara na usalama barabarani. Mkakati huu ni moja ya kutimiza malengo iliyojiwekea Mkoa wa Iringa katika mwaka wa fedha 2022/2023