NIC Insurance wakishirikiana na wadau wa Sekta ya Bima nchini wametembelea Ngorongoro

30-05-2022

Author: author

NIC Insurance wakishirikiana na wadau wa Sekta ya Bima nchini wametembelea vivutio vya Hifadh ya Ngorongoro ili kuunga mkono juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika kukuza Sekta ya Utalii nchini kupitia Royal Tour.