Kata Bima Kiganjani Mwako

Maombi ya bima ambayo yameundwa na Shirika la Bima la Taifa ili kuwawezesha watu kupata huduma za bima kwa mbali.